Dirisha la Udahili la mwezi Septemba (September Intake 2024/2025)

Dirisha la Udahili la mwezi Septemba (September Intake 2024/2025)

Tunatangaza ufunguzi wa maombi kwa ajili ya masomo ya mwezi Septemba! Karibu ujiunge na chuo chetu na ufurahie fursa nyingi katika kozi zifuatazo:

Kozi za Cheti na Stashahada

  • Kilimo
  • Maendeleo ya jamii

Kozi za VETA

  • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT)
  • Matumizi ya Kompyuta (Computer Application)

Tuma maombi sasa ili kuanzisha safari yako kuelekea mustakabali wa ndoto yako, kwani Madarasa yataanza tarehe 18 Machi 2024.

Mwisho wa Kuwasilisha Maombi: tarehe 5 Septemba 2024

Tuma Maombi HAPA

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0685506450 / 0679550047