DIRISHA LA UDAHILI MWAKA WA MASOMO 2025/2026
August 15, 2025
by Admin
in Latest News
Mkuu wa Chuo cha Dododma Institute of Development and Entrepreneurship Studies (DIDES) anapenda kuwataarifu wahitimu wote kuwa dirisha la maombi ya kujiunga na mafunzo ya Astashahada na Stashahada katika kozi ya maendeleo ya jamii (community development) na kilimo (Agriculture Production) kwa mhula wa mwezi wa tisa katika mwaka mpya wa masomo wa 2025/2026 liko wazi. Aidha, Ofisi […]