DIRISHA LA UDAHILI MWAKA WA MASOMO 2026/2027 KWA MUHULA WA MWEZI WA TISA.
Mkuu wa Chuo cha Dododma Institute of Development and Entrepreneurship Studies (DIDES) anawataarifu wahitimu wote kuwa dirisha la maombi ya kujiunga na mafunzo ya Astashahada na Stashahada katika kozi ya maendeleo ya jamii (community development) na kilimo (Agriculture Production) kwa mhula wa mwezi wa tisa katika mwaka mpya wa masomo wa 2026/2027 liko wazi. Aidha, […]