DIRISHA LA UDAHILI MWAKA WA MASOMO 2023/2024
Mkuuwa Chuo cha Dododma Institute of Development and Entrepreneurship Studies (DIDES) anapenda kuwataarifu wahitimu wote kuwa dirisha la maombi ya kujiunga na mafunzo ya Astashahada na Stashahada katika kozi ya maendeleo ya jamii (community development) na kilimo (Agriculture Production) kwa mhula wa mwezi wa tisa katika mwaka mpya wa masomo wa 2023/2024 liko wazi. Aidha, Ofisi inapenda […]